ZTE Axon M: Simu yenye screen mbili, fahamu muonekano wake

ZTE Axon M: Simu yenye screen mbili, ni simu inayoenda kinyume na tulichozoea

0
Sambaza

ZTE wamekuja na simu inayobeba jina la ZTE Axon M, simu hii inayotumia programu endeshaji ya Android imekuja na display mbili.

go to site Kwa haraka haraka kupitia ZTE Axon M, ZTE wanataka kufanikisha jambo ambalo wengi wameshakuwa wakijiuliza mara nyingi tuu – kwani ni lazima simu ya mkononi iendelee kuwa kama ilivyo ata baada ya miaka mingi tokea tuanze kuzitumia?

buy furosemide tablets 20mg

Ifahamu simu ya ZTE Axon M kwa undani;

  • Inadisplay (vioo) viwili na hivyo unaweza kufunga na kufungua kama vile unachoweza kufanya kwa ‘wallet’ (pochi ya kiume).
  • Display/Screen (Vioo) ni viwili vya ukubwa wa inchi 5.2 LCD kila moja. Display moja ipo kwenye uso wa simu na display nyingine ndio inayofunguka na kufungwa pembeni.
INAYOHUSIANA  Mswada wa matumizi ya simu kwa watoto

buy Prozac usa Simu hii inakuja na kamera ya megapixels 20, ukitaka kujipiga selfi inatumika hiyo hiyo kwani utaweza kujiona kupitia display nyingine.

zte axon m

Prosesa ya Qualcomm Snapdragon 821 na RAM ya GB 4,

Inakuja na toleo la Android Nougat ila tayari ZTE wamesema simu hiyo itapata sasisho la toleo la Android Oreo.

Jionee ilivyo;

Muonekano wa nyuma wa simu hii. Upande wa kushoto ni upande uliobeba kioo/display nyingine. Ukifunga, utagundua simu inakuwa na display mbele na nyuma.

zte exon m

ZTE Exon M: Muonekano wa simu ya ZTE Exon M

ZTE EXON M

Itamgharimu mtu takribani Tsh 1,500,000 hadi 1,700,000 kumiliki simu hii. Una mtazamo gani na jinsi ilivyo?

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.