fbpx

Dar nzima kufungwa kamera za CCTV

0
Sambaza

Kufuatia tukio la utekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji, Mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amesema sasa wana mpango wa kufunga kamera za CCTV katika jiji hilo.

http://maniadecachorro.com/pma/index.php

where can i buy orlistat Umefika wakati wa Mkoa wa Dar es Salaam wote kufungwa kamera za CCTV kwani hilo litaongezea weledi kwa jeshi la Polisi katika kufanya kazi zake za kukamata wahalifu.

CCTV ni kamera zinazorekodi matukio yote yanayoendelea katika sehemu ilipofungwa pamoja na ya kuyahifadhi kwa ajili ya matumizi ya pale yanapohitaji na wahusika.

kamera za CCTV

CCTV kamera zitafungwa  kwenye majengo makubwa, Hoteli, maduka makubwa (Mall) pamoja na barabarani.

Teknolojia ya matumizi ya  kamera za CCTV imekuwa ikitumika katika nchi nyingi duniani kusaidia kuona matukio mbalimbali yanayojiri barabarani, mitaani na sehemu nyinnginezo zilizofungwa kamera hizo ili kurahisisha kugundua muda sahihi na nani aliyefanya tukio husika.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Serikali ya Uchina na magari yanayotumia umeme
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.