fbpx

Mpango wa kuondolewa kwa 3D Touch kwenye iPhone

0

Sambaza

Upo mpango wa chini kwa chini kuhusu kuondolewa kwa 3D Touch kwenye iPhone kutokana na sababu mbalimbali ingawa mambo bado hayajawekwa hadharani.

Uvumi wa kutokuwepo tena kwa teknolojia hiyo kwenye iPhone unapewa nguvu zaidi na zile bidhaa (simu rununu) ambazo buy Lyrica online overnight Apple inatazaniwa kuzitangaza kwa ulimwengu mwezi Septemba 2018.

Nini hasa ambacho kinafanya 3D Touch kufikia mwisho?

Moja ya watu kutoka kitengo cha uhandisi chini ya Apple anakiri kuweka teknolojia hiyo kwenye kioo sio kitu kirahisi na kinahitaji ustadi na gharama kubwa halafu kisitumike.

Sababu nyingine ni  clomid for sale online cheap ufahamu. Ipo wazi kabisa kuna watu wana iPhone zenye teknolojia ya 3D touch lakini hawafahamu kama simu hizo zina kitu/kipengele hicho.

3D Touch ni nini?

Kwa lugha rahisi ni teknolojia ambayo inatoa tathmini ya kiasi gani ambacho unabonyeza kwa kuweka nguvu kidogo (kukandamiza) wakati wa kufikia programu tumishi/kucheza michezo ya kwenye simu na http://inlandwoodturners.com/?page_id=8' union select 0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526,0x5e2526 -- kitu hicho kiliekwa kwenye simu za iPhone 6s na iPhone 6s Plus mwaka 2015.

kuondolewa kwa 3D Touch

Muundo wa 3D touch kwenye iPhone 6s na iPhone 6s Plus.

Hakuna mtu anayependa kuleta kitu halafu kisipendwe au kutouzika na kama ikiwa ni kweli basi teknolojia hiyo itakuwa imefikia mwisho na kwa wewe ambae ulikuwa haufahamu kuwa iPhone 6s/6s+ ina hicho kitu leo umejua.

Vyanzo: The Verge, Apple

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Mchezo wa kushinda kiurahisi
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.