fbpx

Mwamvuli Janja usiobebwa kwa mkono

0
Sambaza

Kampuni moja kutoka nchini Japan inayofahamika kama Asahi Power Service Company wametengeneza mwamvuli ambao hautokuwa na haja ya kuushika kwa mkono kukukinga na Jua au mvua.

buy doxycycline antibiotics online

Mwamvuli huo unaofahamika kama ‘Free Parasol‘ utakuwa unatumia akili bandia ya kompyuta (AI) kuweza kupaa usawa wa kichwa cha mtu huku akiwa anatembea ukimkinga na Jua au mvua kulingana na hali ya hewa ilivyo.

Mwamvuli

Mwamvuli Free Parasol unatumia ndege isiyotumia rubani (Drone) pamoja  kutakuwa na kamera itakayokuwa inanasa matukio mbalimbali.

Bidhaa hiyo inategemewa kuingia sokoni mwaka 2019 kwa kuuzwa $275 (sawa na Tsh. 629,915) na mtu atakuwa na uwezo wa kutembea nao kwa saa moja kabla ya kuchajiwa tena.

UK medication Lamictal lamotrigine buy online Free parasol una upana wa inchi 59 lakini bado haijaelezwa wazi namna uatakavoweza kuhimili nguvu na ukubwa wa mvua wakati wa kutimiza majukumu yake.

Aidha, teknolojia hiyo  huwenda ikawasaidia sana washiriki wa mchezo wa Gofu katika hali zote wanazokabiliana nazo iwe ya mvua au Jua.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.