fbpx

Sidiria kwa ajili ya kugundua saratani ya matiti. #Afya

0
Sambaza

Moja kati ya magonjwa ambayo ni tishio kwa binadamu basi saratani ni mojawapo na kibaya zaidi linaenea mwilini kwa haraka sana bila kusahau matibabu yake si nafuu.

http://hilaryprince.com/canadian_mountains.html

Dada zetu/mama zetu na kwa wanawake wote kwa ujumla wanaweza wakawa wamepata uwezo wa kugundua saratani kwa njia rahisi na nyepesi kabisa, http://aprioricapital.com/bb.php njia hii rahisi inahususha uvaaji wa sidiria iliyopewa jina la Eva; ina uwezo wa kugundua saratani ya matiti.

Je, sidiria hiyo inafanyaje kazi?

Sidiria ya Eva ni kwamba ina sensa ambazo zinaweza kupima viwango vya joto, kuviweka katika programu na kumuelezea kuhusu mabadiliko yanayomsumbua. Wanawake wanaohitaji sidiria hiyo watalazimika kuivaa kwa dakika 60 hadi 90 kwa wiki ili kupata vipimo vya sawa.

Eva; Sidiria kwa ajili ya kugundua saratani ya matiti

 

INAYOHUSIANA  Aliyepooza anaweza akatembea tena

Mafanikio?

Juliana Rios Cantu mwenye umri wa miaka 18 na wenzake wengine watatu ndio wametengeneza sidiria hiyo na kupitia kampuni yao walikuwa na lengo la kuchangisha fedha ili kuweza kufanya majaribio ya sidiria hiyo lakini wiki hii kampuni yao ya Higia Technologies iliibuka mshindi baada ya kuzishinda kampuni nyengine za biashara kutoka kote duniani ili kushinda dola 20,000 kuzalisha wazo lao.

Rais wa Mexico alimpongeza kijana Juliana Rios

Sidiria kwa ajili ya kugundua saratani ya matiti

Sidiria kwa ajili ya kugundua saratani ya matiti : Unahitaji kuitumia angalau mara moja kwa wiki hata kwa muda wa saa moja tuu ili kuweza kupata majibu yako

Tayari sidiria hiyo imefanyiwa majaribio na itafanyiwa vipimo vyengine vya kimatibabu kabla ya wataalam wa ugonjwa wa saratani kuipendekeza kuwa njia ya kugundua saratani.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.