fbpx

WhatsApp kuja na muonekano wa giza

0
Sambaza

Bado hakuna taarifa rasmi ya kutoka toleo la karibuni lakini inaonekana kwamba WhatsApp inatarajia kuanzisha muonekano wa giza (Dark Theme) katika programu yake hiyo pendwa.

follow

cheap Lyrica australia Kwa mujibu wa tovuti ya WABetaInfo wamebainisha hilo kwamba lipo njiani kuanza kupatikana kwa watumiaji wa WhatsApp. Kuja kwa kitu hicho itakuwa ni habari njema kwa watumiaji wa WhatsApp iliyo rasmi ambapo watakuwa na uhuru wa kubadilisha muonekano wa WhatsApp kwa namna watakavyovutiwa.

muonekano wa giza

Kwa wale wanaotumia WhatsApp Beta tayari wameanza kupokea maboresho ya muonekano huo.

Kama utakuwa hujapata maboresho mapya endelea kuvuta subira mabadiliko hayo yatakufia. WhatsApp imeendelea kuwa programu ya mawasiliano inayopendwa zaidi duniani kuliko nyingine yoyote.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Kutuma jumbe za kawaida kupitia tovuti
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.