Akaunti ya Facebook ya Meya Jerry Silaa Yawa 'hacked'

Akaunti ya Facebook ya Meya Jerry Silaa Yawa ‘hacked’!

0
Sambaza

Jerry SlaaAkaunti ya Facebook ya Meya wa Ilala ‘imehackiwa’! Kupitia akaunti yake ya Twitter na Instagram Meya Jerry Silaa adai kuna mtu aliyetumia akaunti hiyo na kutuma ujumbe kwa marafiki zake ‘akidai’ anamaongezi nao ya siri.

buy disulfiram online uk

Ujumbe alioutoa Instagram

Watu wengine walikuwa wanauliza, ‘hata wewe wanakuhack’… Kwa kifupi ni muhimu sana kuwa mwangalifu na anuani (linki) zozote unazotumiwa kupitia sehemu yako ya ujumbe wa siri Facebook. Uliza anuani hiyo inahusu nini, hii itasaidia kwani kama mtu hakukutumia itakuwa ni rahisi yeye kukujibu na hivyo kugundua kuwa akaunti yake imeathiriwa, kwa kila mwingine anavyobofya ndivyo ujumbe huo unavyoenea kwa wengine na wengine. Kujua zaidi kuhusu suala hili soma makala ‘ JIEPUSHE Na Ku’click ‘Link’ Zisizo Na Maana Kwenye Mitandao Ya Kijamii’ – bofya hapa!

INAYOHUSIANA  Mswada wa matumizi ya simu kwa watoto

follow url Timu nzima ya Teknokona inampa pole Mheshimiwa Meya, cha kushukuru hakuna cha ajabu kilipostiwa kwenye akaunti yake.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply