App ya DU Recorder: App ya kurekodi screen/display yako

App ya DU Recorder: App ya kurekodi screen/display yako

0
Sambaza

Kuna wakati inawezekana unataka tu kurekodi kitu unachofanya kwenye simu yako ili upate kumtumia mtu mwingine; ili kumuelekeza jambo n.k

http://terra-properties.com/category/web-tutorials/ App ya DU Recorder ni app ya bure yenye uwezo wa kurekodi screen /display ya simu yako. Hii ina maanisha itaweza kurekodi kila jambo linalofanyika kwenye simu yako.

App ya DU Recorder: App ya kurekodi screen (display) yako

go App ya DU Recorder: App ya kurekodi screen (display)

go here Sehemu ya kuanzisha na kusimamisha rekodi inayoendelea utaweza kuipata katika eneo la ‘notification’ au kwenye app hiyo. Pia unaweza kubadili/kuchagua ubora wa video unayoitaka – kuanzia 240p hadi 1080p (HD).

  • Inaweza kurekodi video pekee bila sauti au pamoja na sauti.
  • Pia unaweza ichagulia muda wa kuanza kurekodi. Pia unaweza chagua iache kurekodi kwa kuitikisa simu.
  • Pia utaweza kuchagua kama unataka irekodi katika mfumo wa GIF – ambao ni rahisi kuutuma. (Fahamu GIF ni nini?)
INAYOHUSIANA  Uber waanza na India kutoa toleo dogo kabisa la programu tumishi

Pia utaweza kufanya mabadiliko (edit), kuunganisha video na ata kuzibadili mfumo kwenda kwenye GIF.

App hii inapatikana BURE kupitia soko la Google PlayStore -> Download. Je kuna app nyingine ambayo unaitumia au umekwishaitumia kufanikisha kazi kama hii? Tuambie kwenye eneo la comment.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.