BlackBerry Passport: Kifahamu Kipya Kutoka BlackBerry

0
Sambaza

Blackberry-passport-tanzaniaBaada ya kuona vita ya kufanya wanavyofanya Apple na Samsung imekuwa ngumu na isiyo na mafanikio kampuni ya BlackBerry imekuja na kitu kipya cha kipekee kupitia kifaa kinachoweza kuwa na sifa za fableti (‘phablet’) kinachokwenda kwa jina la BlackBerry Passport. Je BlackBerry passport ni sawa na Samsung Galaxy Note? HAPANA, BlackBerry Passport ipo ya kitofauti, na wachambuzi wengi wamediriki kusema ingekuwa Passport imetolewa na kampuni nyingine kama Samsung au kampuni ndogo basi ingepewa uzito zaidi wa kuongelewa kuliko inavyopata sasa.

http://fbmedical.fr/aftepaes/1165

watch Jina la Passport limetumiwa kutokana na simu hii kuchukua vipimo kama zile za shahada ya kusafiria maarufu kwa jina la Passport.

Je kuna nini kipya kwenye BlackBerry Passport?

dating navan meath Moja ya sifa kubwa ni uwepo wa kibodi (vibonyezo/keyboard). BlackBerry ndio wanashikilia sifa ya kuwa na kibodi zenye mvuto na uzuri katika utumiaji. Lakini pia kitu kipya katika http://foodintravel.it/antivirus-c-33.html kibodi hii ni kuwa inaweza kutumika kama ‘kipanya’ kwa kimombo ‘mouse’ kwa kupitisha kidole juu ya eneo la kibodi. Tazama hapa;

 

SOMA PIA:  Watumiaji wa WhatsApp kwenye iOS waletewa vitu vipya

Utaweza kutumia Apps za Android

Bado BlackBerry hawajafanikiwa kuwavutia maprograma kutengeneza Apps kwa ajili ya BlackBerry OS hivyo BlackBerry wameongezea kitu kwenye OS yao kuwezesha programu za Android kutumika katika simu zao. BlackBerry Passport inakuja na soko la Apps la Amazon ambalo halina apps nyingi kama soko la Google Play ila lina apps za kutosha hii ikiwa ni pamoja na apps nyingi maarufu zinazotumiwa kila siku.

Imepewa sifa kubwa katika suala la utumiaji wa mtandao – intaneti, na inasemekana mitandao mingi inafunguka vizuri bila kuharibu mtazamo wake.

SOMA PIA:  Miaka 25 ya huduma ya SMS (Ujumbe Mfupi) kwenye simu za mkononi!

Mambo mengine mengi kama uwepo wa BBM hazijabadilika. BlackBerry Pocket inalenga watu wa kiofisini, unaweza ichukulia kuwa kama begi lako dogo. Wachambuzi wengi wamesoma ukubwa wake unaweza kuwa usumbufu kwa wengi pale linapokuja suala la utumiaji, kwani ni lazima utumie mikoni miwili, kwa ukubwa wake inajaa kiraisi kwenye kiganja kimoja – tazama picha.

BlackBerry Passport inaweza Kuwavutia Wafanyakazi wa Kiofisi Zaidi

go to link BlackBerry Passport inaweza Kuwavutia Wafanyakazi wa Kiofisi Zaidi

BlackBerry Passport inaweza Kuwavutia Wafanyakazi wa Kiofisi Zaidi

forum rencontre ado sans inscription BlackBerry Passport inaweza Kuwavutia Wafanyakazi wa Kiofisi Zaidi

Order Tastylia Oral Strip No Prescription KIBAYA zaidi kuhusu simu/fableti hii ni bei yake! BlackBerry Pocket inauzwa kwa takribani Tsh Milioni 1, na wengi wanasema kwa bei hii itakuwa vigumu kumfanya mnunuaji aache kununua simu za iPhone 6 Plus au Samsung Galaxy Note badala ya hii. Ata hivyo pia BlackBerry wanategemea kuwauzia watu wa kitofauti zaidi, wao wanaona simu hii ni kwa watu wa makazini, watu wanaotaka kufanya kazi na si vinginevyo.

SOMA PIA:  Ripoti TCRA: Idadi ya watumiaji wa Intaneti yaongezeka Kufikia milioni 23

Sifa zaidi ni kama hivi;

SIFA BLACKBERRY PASSPORT
Bei: Takribani milioni 1 (Dola 600 za Marekani)
Kioo: Inchi 4.5
Prosesa: Qualcomm Snapdragon 801 (2.26 Ghz)
RAM: 3GB
Diski Uhifadhi: GB 32 na sehemu ya kadi ya microSD (uwezo hadi kadi za GB 128)
OS: BlackBerry 10.3
Betri: 3,450mAh
Uzito: Gramu 194

http://calonline.com/?q=viagra-samples-for-physicians JE UNADHANI HII SIMU ITAUZA? UKIWA NA MILIONI MOJA NA INABIDI UCHAGUE KATI YA SIMU HII NA TOLEO JIPYA LA SAMSUNG GALAXY NOTE AU IPHONE  JE UTANUNUA IPI?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com