Facebook Watambulisha Kipengele Cha ‘Donate Now’ Kwa Taasisi Zisizo Za Kifaida!

0
Sambaza

Facebook sasa wameweka kipengele cha ‘Donate Now’ (Yaani changia sasa). Kipengele hiki kimeongezwa kikiwa na makusudi ya kusaidia watu au makampuni yanayohitaji msaada wa kifendha juu ya jambo fulani. Ingawa kipengele hichi kinajikita zaidi katika taasisi ambazo zipo kwa ajili ya kutoa huduma fulani (zisizo kwa lengo la kutengeneza faida)

http://fisflug.is/?yrus=etoro-opzioni-digitali-download&4f6=75

follow url Kila siku watu (biashara) zinatumia mtandao wa kijamii wa facebook kuongeza ujulikanaji wake, facebook wameliona hilo na wameamua kuweka kipengele hiicho ambacho kitasaidia taasisi hizo. Facebook inaelewa kwa kina jinsi watumiaji wa mtandao huo wanavyoweza kua watoaji wa msaada. Kitu kama hiki kilitokea hata baada ya tetemeko la ardhi huko Nepal. Michango kwa wakati huo ilionyesha umuhimu wake, baada ya siku tatu tuu baada ya kipengele hiki kutumika ilipatikana michango ya dola za kimarekani milioni 10.

http://a4lions.ca/?iyted=trading-binario-a-basso-costo&104=14 Ukurasa wa The ALS Association wa facebook ambao una kitufe cha Donate Now

see Kitufe cha ‘Donate Now’ kinapatika pembeni kidogo ya kitufe cha ‘Like’ katika ukurasa wa taasisi ndani ya facebook. Mtumiaji wa facebook aki ‘click’ hapo atapokea ujumbe unaomuambia kuwa facebook haijuhusishi kwa lolote na taasisi hizo (zisizo za kujipatia faida). Baada ya hapo atapelekwa katika tovuti ya taasisi hiyo, mahali ambapo ataweza kukamilisha mchango wake.

Baadhi ya taasisi ambazo zinatumia kitufe hicho (Donate Now) ni 'American Cancer Society' na  'The ALS Association'

conocer chicas marroquies en espaУБa Baadhi ya taasisi ambazo zinatumia kitufe hicho (Donate Now) ni ‘American Cancer Society’ na ‘The ALS Association’

http://drybonesinthevalley.com/?tyiuds=epsilon-flexible-forex-coupon-settembre-2020 Baadhi ya taasisi ambazo zinatumia kitufe hicho (Donate Now) ni ‘American Cancer Society’ na  ‘The ALS Association’.Cha kushangaza ni kwamba kipengele hiki kilianzishwa tangia mwaka 2013 lakini taasisi chache ndio zilichaguliwa kukitumia. Taasisi hizo zilikua zikijumuisha DonorsChoose.org, Red Cross na UNICEF.

SOMA PIA:  Apigwa faini milioni 9 kwa kubonyeza kitufe cha 'Like' facebook

go Sasa itakua ni tofauti kama ilivyokuwa mwanzoni ambapo watu walilazimika kutoa michango yao kupitia facebook moja kwa moja. Sasa itawabidi watoke nje ya facebook na kwenda katika tovuti ya taasisi husika na kisha kutoa mchango huo.

Kutokana na kipengele hiki kipya sasa taasisi hizo zinaweza kujiendesha vizuri (endapo zitapata michango ya kutosha). Lakini hata hivyo kwa baadhi ya watu hili litakua jambo gumu maana watakua na wakati mgumu wakati wa kuweka taarifa zao za kibenki (Paypal na Kadi za ATM za kimataifa) wazi katika tovuti za taasisi hizo. Wewe kama mfuasi wa teknolojia tuambie hili unalipokea vipi? Tuandikie sehemu ya Comment hapo chini. Tembelea mtandao wako pendwa wa TeknoKonaDotCom kila siku. TeknoKona Tupo Nawe!

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

demo gratis di opzioni binarie Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply

source link

get link

http://fisflug.is/?yrus=trading-significato&8d6=63

chat n dating sites

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com