Google: Magari Yetu Ya Kujiendesha Yenyewe Yamepata Ajali Mara 11 Tuu!

0
Sambaza

Kama wewe ni mfuatiaji mzuri wa Teknolojia hasa zile za makampuni makubwa huwezi liacha kampuni kubwa, Google. Na tukizungumzia kampuni ya Google ukiachana na teknolojia zake zingine ipo hii ya kuvutia kuhusiana na gari inayojiendesha bila dereva kuwa nyuma ya usukani.

Sawa tumesikia mengi ya ajabu kama vile gari isiyotumia mafuta n.k lakini hii ni ya ajabu zaidi ila kwa teknolojia ya kisasa ni jambo linalowezekana.

enter

3ecda5dab3d61c3c_14503213895_7712140b04_o.xxxlarge_2x

follow url online dating caribbean Muonekano ya moja ya magari hayo yanayojiendesha yenyewe!

source url Najua kuna maswali mengi unaweza kujiuliza je ni vipi gari inafanya kazi (kuweza kujiendesha yenyewe) ukiwa na swali hilo hilo kumbuka pia teknolojia inakua kwa kasi sana. Google ni moja kati ya makampuni machache duniani yaliyo juu katika maswali ya ubunifu katika nyanja ya Teknolojia.

SOMA PIA:  Meli ya Titanic huenda ikatoweka kabisa baharini ifikapo mwaka 2030

source url Google ilisema katika makala kwenye blog  kuwa ajali zilizotokea kwa magari ya teknolojia hiyo ni  tuu katika kipindi cha miaka sita (6).  Ajali zote zilizotokea ni ndogo ndogo na zinazo pelekea taa kuvunjika.  katika blog mwendeshaji wa programu ya gari zinazojiendesha zenyewe wa Google, Chris Urmson alisema kuwa Ajali huwa zinatokea kwenye gari wakati gari inaendeshwa na dereva mwingine wakati inajiendesha yenyewe.

click Makala ya  Urmson  ilitoka siku moja na ripoti ya Associated Press (AP) ikiwa inaripoti kuwa magari manne (4) ya kujiendesha yenyewe yameonekana katika ajali California tangia mwezi septemba. Tatu kati ya hizo ni magari ya kujiendesha yenyewe toka Google na gari lingine ni lile linalomilikiwa na Delphi, kampuni kubwa inayosambaza magari.

SOMA PIA:  Facebook kudhibiti taarifa zinazochapishwa bila malipo

click Magari ya kujiendesha yenyewe kutoka Google yanafanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza kabisa California na Nevada.

 Angalia Video Ifuatayo Kufahamu Zaidi Kuhusu Gari Hizi Kutoka Google

robot opzioni binarie 24option

Gari hizi zinapunguza ajali barabarani kwa kiasi kikubwa na sio kwamba haziendeshwi na walevi hapana! ni kwa sababu zinawekewa teknolojia ya hali ya juu sana.  Hebu fikiria gari hii inaweza tofautisha mtembea kwa miguu na muendesha baiskeli pia hata gari ya abiria na isiyo na abiria. Pia usisahau kuna ajali 11 tuu kwa kipindi cha miaka 6, Kuna baadhi ya watu wanaweza amini zaidi gari hii kuliko madereca wao wa siku zote.

Toa mawazo yako sehemu ya Comment Pia tembelea kurasa zetu za Twitter, Facebook Na Instagram

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

bonus gratis opções binarias Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply

forex gratis

Trading CFDs and/or opzionibinarie com recensioni involves significant risk of capital loss.

http://www.siai.it/?ityies=opzioni-binarie-metatrader&eab=45

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com