Google Waleta ‘Plugin’ ya Drive kwenye Microsoft Office

0
Sambaza

Teknolojia inazidi kuwa tamu zaidi. Baada ya Microsoft kukubali kuwekeza nguvu zake kwenye programu-endeshaji nyingine za Apple na Google, sasa inaonekana Google nao wanaenda upande wa pili na kujiweka moja-kwa-moja kwenye biashara inayoiweka Microsoft juu zaidi kwa kutangaza ‘Plugin’ ya Drive kwenye Microsoft Office.

http://iviti.co.uk/?vera=app-per-demo-option&bcb=5d

rencontre etampes 91 Watu walio makini na wanaofuatilia mwenendo wa huduma za hifadhi-pepe watafurahia sasa kusikia ya kwamba, wanaweza kufungua nyaraka (iwe ni ‘word’, ‘spread-sheet’ au ‘presentation’) iliyopo kwenye huduma ya Google Drive moja-kwa-moja kwenye programu ya MS Office kwa kutumia Google Drive Plug-in. Ukibadili kitu chochote kwenye nyaraka yako na Office, itajihifadhi yenyewe kwenye hifadhi-pepe ya Google Drive.

SOMA PIA:  Maboresho: Huduma ya Google Photos yazidi boreshwa

opcje binarne film blog_driveplugin2Mnamo mwezi Novemba mwaka jana, tuliandika hapa Teknokona kwamba Google ilitoa kisaidizi cha kivinjari cha Chrome kinachokupa uhuru wa kufungua nyaraka yoyote kwa kivinjari hicho bila ya kuhitaji MS Office. Hatahivyo, kampuni ya Google sasa inasema kwamba kwa kutoa ‘Plug-in’ hii mpya, wanafungua milango zaidi ya huduma yao ya hifadhi-pepe ya Google Drive, kwa kukupa uhuru wa kutumia programu ambazo tayari umezizoea na unazipenda.

Unaweza sasa, kutengeneza nyaraka yotote mpya na kuiweka moja-kwa-moja kwenye Google Drive kupitia MS Office

go to site forex hareketli ortalama stratejisi Unaweza sasa, kutengeneza nyaraka yotote mpya na kuiweka moja-kwa-moja kwenye Google Drive kupitia MS Office

click Hii hatua inakuja kwa sababu Google wanajua kuwa kuna ushindani mkubwa kwenye biashara ya hifadhi-pepe kwani Dropbox na Box, kampuni maarufu za huduma hizi tayari wameingia ubia na Microsoft kuweka huduma zao kama chaguo la kwanza sambamba na Onedrive ya Microsoft kwenye programu ya MS Office kwa kila mtu.

SOMA PIA:  Je simu za mkononi zinasababisha kansa ya ubongo? Utafiti mpya waja na majibu

opcje binarne wirtualne conocer gente de jujuy Kuanza kutumia Google Drive Plug-in, ishushe -> here hapa.

http://www.fordbaris.com/?jiiias=en-g%C3%BCvenilir-forex-%C5%9Firketi-forum&fdb=a8 follow link Je, unatumia hifadhi-pepe kuendesha kazi zako za kila siku? Hii habari inakugusaje? Tuungane kwenye mazungumzo hapo chini.

follow site Chanzo: GoogleForWork

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ninafuatilia teknolojia kila siku na ninapenda kutoa ujuzi wangu kuhusu teknolojia. Karibu tuzungumze kuhusu teknolojia hapa teknokona!

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com