Je huwa Unatembelea Mitandao ya Ngono?

0
Sambaza

Hivi karibuni tuliandika kuhusu uamuzi wa Google wa kupiga marufuku blogs za ngono na baadae kuruhusu tena katika mfumo wake wa Blogs wa Bloggers. Ila ukweli utakuwa wazi ya kwamba ingawa sheria nchi na ata tamaduni nyingi zinakataza suala hilo lakini bado watu kwa maamuzi yao wenyewe huwa bado wanatembelea mitandao hiyo.

Wengi wanaona bloga wengi wataamia WordPress

Soma;

Blogger Wapiga Marufuku Blog za Ngono

Google Wabadili Uamuzi Kuhusu Blog za Ngono

Ebu tuambie, je wewe pia unaona ni sawa kutembelea mitandao ya ngono?

SOMA PIA:  Uwezo wa kumuongeza mtu kwenye kundi la WhatsApp bila Admin kujua

Ebu bofya kupiga kura ya sura tuone ni kwa kiasi gani bado mitandao hii kwa sababu mbalimbali bado watu wengi washatembelea na bado wanaendelea kutembelea mitandao hiyo. 🙂 Kumbuka kusambaza swali hili kwa marafiki pia, kumbuka ukibofya eneo lako utaweza kuona matokeo yote kujua wengi wamebofya wapi.

(VUMILIA SEKUNDE CHACHE, ENEO LA KUPIGA KURA LINATOKEA)

[socialpoll id=”2256886″]
Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com