Kufungua WhatsApp kwa Haraka Zaidi kwenye Kompyuta

Jinsi ya Kufungua WhatsApp kwa Haraka Zaidi kwenye Kompyuta

0
Sambaza

http://canhamfarm.com/our-shop/your-account/ Tangu wiki iliyopita, WhatsApp imekuwa ikipatikana kwenye kompyuta kupitia kivinjari cha Google Chrome. Huu ni mwanzo tu, huduma hii itasambaa kwenye Firefox na vivinjari vingine katika siku za karibuni.

Kuna njia mbili za kufungua WhatsApp kwa haraka zaidi kwenye kivinjari cha Google Chrome: Kupitia ‘Bookmarks’ (kumbukumbu) na kupitia njia fupi zaidi ya kuweka ‘short-cut’ kwenye ‘task-bar’, start-menu na kwenye desktop pia.

go to site Kupitia Bookmarks

Uwapo kwenye web.whatsapp.com, bonyeza ‘ctrl’ + ‘D’na katika kisehemu cha Jina weka whatsApp. Unapoandika WhatsApp tena kwenye kisehemu cha anuani, Google Chrome itakumbuka kurasa ya whatsapp na kukupa urahisi wa kuifungua app hiyo.
Tazama picha hapa chini.

Bonyeza 'ctrl' + 'D'na katika kisehemu cha Jina weka whatsApp. Fanya hivi uwapo kwenye kurasa ya web.whatsapp.com

purchase augmentin online Bonyeza ‘ctrl’ + ‘D’na katika kisehemu cha Jina weka whatsApp.
Fanya hivi uwapo kwenye kurasa ya web.whatsapp.com

Kupitia Shot-kati

Kupitia Shot-kati ya kwenye ‘taskbar’, ‘task-bar’, start-menu na kwenye desktop:
Ingia web.whatsapp.com. Uwapo kwenye kurasa hii, fungua ‘menu’ ya Chrome na shuka hadi kwenye zana zaidi (‘more tools’) na chagua ‘unda mikato ya programu’ (‘create application shortcuts’). Kisha chagua unataka shoti-kati yako ikae wapi kati ya Eneo-kazi (‘Desktop’), Menyu ya Kuanzia (‘Start menu’) au upau wa shughuli (‘task-bar’).  Fuatilia picha hii hapa chini.

INAYOHUSIANA  VLC haipatikani kwa baadhi ya simu za Huawei

Whatsapp Shortcuts - final

Chagua unataka shoti-kati yako ikae wapi kati ya Eneo-kazi (‘Desktop’), Menyu ya Kuanzia (‘Start menu’) au upau wa shughuli (‘task-bar’)

Chagua unataka shoti-kati yako ikae wapi kati ya Eneo-kazi (‘Desktop’), Menyu ya Kuanzia (‘Start menu’) au upau wa shughuli (‘task-bar’)

Endelea kupata ujanja kama huu hapa teknokona! Jiunge nasi pia kupitia Facebook, Twitter na Instagram.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ninafuatilia teknolojia kila siku na ninapenda kutoa ujuzi wangu kuhusu teknolojia. Karibu tuzungumze kuhusu teknolojia hapa teknokona!

Leave A Reply