Jinsi Ya Kutumia Intaneti Ya BlackBerry Bila Bando Spesheli (BIS)!

0

Kama wewe ni mtumiajia/ulishawahi tumia simu za blackberry utakua unafahamu fika kuwa kwenye huduma ya intaneti kwa hapa nchini kidogo kuna ugumu. Inakubidi ulipie huduma spesheli ambayo itakuwezesha kufaidi internet ya simu hiyo. Huduma Hii inajulikana kama Blackberry Internet Service (BIS).

Jambo hili kuna baadhi ya watu linawachukiza, hata mimi kipindi wakati natumia Blackberry nilikua nauzika, lakini mmoja kati ya marafiki zangu akanipa njia. Naomba na mimi nipitishie maujuzi kama ifuatavyo. Cha msingi ni kufuata taaratibu kama zinavyoelezwa

options blckbeery

Eneo La TCP/IP Katika SImu Ya Blackberry

Uwanja Wa Kuweka APN Mpya Katika Simu Ya Blackberry

  • Baada ya hapo utakua tayari umeshaunganisha internet kwa mfumo wa kawaida katika simu yako ya blackberry lakini kuna jambo moja muhimu la kufanya.. Nalo ni kuziruhusu Apps mbalimbali kutumia intaneti hiyo
  • Cha kufanya nenda eneo la ‘ go here Options‘ kisha tafuta ‘ click Application  Management‘ kisha chagua Apps unazotaka kuziruhusu kutumia intanenti hiyo

Application Management

Sehemu Ya Kuchagua Vitu Gani App Ifanye/Itumie

Baada ya kufanya yote hayo kwa mtiririko  ‘save’ mabadiliko hayo kisha ‘resart’ simu yako. Kurestart simu yako kirahisi bofya ALT na SHIFT ya upande wa kulia  pamoja na DEL kwa wakati mmoja bila kuachia mpaka simu yako itakapojizima. Baada ya sejunde kadhaa itawaka na utaweza kutumia App zako kama kawaida kwa kutumia intaneti ya kawaida.

college dating advice for guys MUHIMU: Baada ya kutumia njia hizi na kupata intaneti hii, hautakuwa na uwezo wa kutumia App ya BBM kwani hiyo inatumika pale unapokuwa na BIS tuu

Mara nyingi hata baada ya kutumia njia hii bado ‘ internet browser‘ (Kivinjari cha blackberry) huwa kinagoma /kinasumbua kufanya kazi. Cha msingi kabla ya kuanza kutumia njia hizi hakikisha kwanza umeshusha kivinjari cha opera mini katika simu yako maana utakifanyia maboresho kama App zingine baada ya kufuata njia hizo.

TeknoKona Tumepokea maswali mengi juu ya kufanya zoezi hili. Bado tunazidi sambaza maujanja, ni imani yangu kuwa njia hizi zitakusaidia kuepekana na kutumia BIS kama ni mtumiaji wa blackberry. Ningependa kusikia kutoka kwako. Kwa swali, maoni au ushauri  dondosha lako la moyni sehemu ya comment hapo chini.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com