Serikali yasisitiza kuendelea kudhibiti mitandao ya kijamii - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Serikali yasisitiza kuendelea kudhibiti mitandao ya kijamii

0
Sambaza

Serikali imesema haitorudi nyuma udhibiti wa mitandao ya kijamii kwa kuwa na sheria zitakazohakikisha wanakabiliana na maudhi yanayotolewa kupitia redio, na televisheni mtandaoni pamoja na tovuti za kuhabarisha (blog).

Misoprostol online without a prescription

how to get Lamictal online no prescription in 25 days Serikali imesisitiza kuwa mitandao ya kijamii itaendelea kudhibitiwa na kamwe haitolegeza msimamo juu ya hilo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe mjini Dododma katika hotuba yake wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani.

kudhibiti mitandao ya kijamii

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe mjini Dododma katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani.

Dk. Mwakyembe amesema serikali itaendelea kusimamia sheria zilizotungwa katika kuhakikisha wanahabari, waliopo kwenye mitandao ya kijamii wanafanyakazi kwa weledi na kujali maslahi ya taifa na tamaduni za Tanzania.

Vyombo vya kwenye mtandao (TV, redio, mitandao ya kujamii) kwa sasa vimekuwa kama ndio vyombo vikuu na kuna watu wanaamini kila kinachoandikwa mtandaoni ni sahihi hivyo lazima kuwe na udhibiti ili upotoshwaji kwa taifa kuhusu jambo fulani usitokee.

kudhibiti mitandao ya kijamii

Serikali ya Tanzania itahakikisha hairudi nyuma katika Finpecia depression women utekelezaji wa usajili na ulipaji kodi mbalimbali kwa mitandao ya kijamii.

Siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo Mei 3 kwa ajili ya kutathmini kanuni za uhuru wa habari na kujieleza.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Instagram Lite Sasa Yaanza Kupatikana.
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.