LG yatangaza G4 Beat, G4 ya Bei ya Kawaida. - TeknoKona Teknolojia Tanzania

LG yatangaza G4 Beat, G4 ya Bei ya Kawaida.

0
Sambaza

LG walitangaza simu ya hali ya juu iitwayo G4 mwezi wa 4 na sasa wametangaza G4 Beat, simu ya hali ya kawaida inayotokana na G4.

G4 Beat itatumia source link Android Lollipop 5.1.1 na itakuwa na buy Depakote 500mg online prosesa ya Snapdragon 615 pamoja na http://doinkdesign.com/portfolio/rccl/ GB 1.5 za kumbukumbu na GB 8 za uhifadhi wa ndani. Itakuwa na kioo chenye ukubwa wa inchi 5.2 HD, ambayo ni ndogo kidogo ya G4 yenyewe ila ina ujazo wa pixeli wa ppi 423.lg-g4-sdn

Sifa nyingine:

  • Kamera kuu: MP 8 (na MP 13 kwa nchi nyingine)
  • Kamera ya mbele: MP 5
  • Rangi: Fedha, Nyeupe na dhahabu
G4 Beat itapatikana kwa rangi ya fedha, nyeupe na dhahabu.

G4 Beat itapatikana kwa rangi ya fedha, nyeupe na dhahabu.

Pamoja na kuwa na kamera yenye sifa nzuri, kamera ya G4 Beat inatangazwa kuchukua baadhi ya teknolojia kutoka kwenye G4 kubwa kama uwezo wa kuchukua rangi ya picha inayofaa zaidi kwa kutumia sensa ya rangi (‘colour spectrum sensor’), inatangazwa kumpa chaguzi nyingi mtaalamu wa masuala ya upigaji picha kuamua picha itokaje na pia itaweza kurahisisha upigaji selfie kwa kutumia ishara.

INAYOHUSIANA  WhatsApp kupambana na taarifa za uongo

G4 Beat itaanza kupatikana baadaye, mwezi huu na LG watatangaza bei yake katika kila soko muda huo.

 Kusoma uchambuzi wa simu mbalimbali tembelea pia ->

Chanzo: theNextWeb

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ninafuatilia teknolojia kila siku na ninapenda kutoa ujuzi wangu kuhusu teknolojia. Karibu tuzungumze kuhusu teknolojia hapa teknokona!

Leave A Reply