M-Pesa na Tigo Pesa Kwenye Mkataba Mpya wa Huduma Zao

0

Kwenye taarifa iliyotolewa leo na kampuni mama ya Tigo, Millicom imesema wamefanikiwa kuingia katika makubaliano na Vodacom kupitia huduma yao ya M-Pesa kuingia kwenye mfumo wa kuwawezesha wateja kutumiana pesa moja kwa moja kwenda kwenye akaunti zao za pesa kwenye mitandao hiyo bila kupitia kwa wakala.

Mkataba wa kwanza wa namna hii ulifanyika mwezi wa sita mwaka jana kati ya Tigo, Artel na Zantel.

money management opzion binarie

http://alschu.de/?destomit=was-ist-ein-demo-konto&565=67 combine_images

go to link binary options online charts ‘Kama wewe ni mteja wa M-Pesa na ukamtumia pesa mtu anayetumia huduma ya Tigo Pesa, pesa hiyo itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa na kitu hicho hicho kitakuwa kinatokea kama mtu wa Tigo Pesa akimtumia pesa mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna utumiaji wa wakala kabisa.’

see url Kwa sasa mfumo uliopo ni kwamba kama mteja wa Tigo Pesa akimtumia pesa mtumiaji wa huduma ya M-Pesa basi mteja huyo wa Vodacom atapokea ujumbe mfupi ambao itambidi aupeleke kwa wakala wa Tigo Pesa ndani ya siku chache ili kuweza kupatiwa pesa zake.

here Hii ni habari nzuri sana katika ukuaji zaidi wa sekta hii ya mawasiliano na kibenki.

source Kusoma kuhusu mkataba wa kwanza uliounganisha Tigo, Airtel na Zantel http://www.sme-ae.it/?bioske=opzioni-binarie-andamento&400=c9 Bofya Hapa!

site de rencontre professionnel gratuit http://www.fordbaris.com/?jiiias=forex-grafikleri&695=9e Chanzo – Millicom.com

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

go here Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

wordpress dating plugin free

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com