Mambo 10 Ya Kushangaza Unayoweza Fanya Ukiwa Google!

0
Sambaza

googlr

Google Inc ni moja kati ya kampuni nguli na tajiri sana mtandaoni. Google inapenda sana kucheza na vitu na kubuni mambo mapya kupitia vitu hivyo hasa kiteknolojia. inasemekana pengine ndio kampuni kubwa ya kiteknolojia inayoongoza kwa ubunifu. Licha ya kuwa mafanikio makubwa kampuni hii ina mambo mbalimbali yanayovutia na kufurahisaha.  Leo tutakuonesha baadhi ya mambo ya kufurahisha unavyoweza kuvifanya kupitia Google Search.

Pia logo yake kwenye ukurusa wa Google dot com huwa inabadililika lakini kwa leo hatutaeliweka hili, leo tunakuonesha mambo kumi unayoweza fanya ukiwa Google dot com na kompyuta yako na mengine ata kwenye simu yako.


http://syaden.net/?giniefr=site-de-rencontre-musulman-sans-inscription&665=82 1. FANYA  PAGE IZUNGUKE KAMA PIPA

Ukiingia katika ukurasa wa google na ukitafuta ‘DO A BARREL ROLL’ page yote itazunguka nyuzi 360

do a barrel roll

http://fgsk.de/?kraevid=sind-bin%C3%A4re-optionen-rentabel&4d2=09 2. GOOGLE YA MWAKA 1998

Ukitaka ona jinsi google ilivyokua mwaka 1998 basi tafuta ‘ http://statusme.com/wp-json/oembed/1.0/embed?url=http://statusme.com/ cosa ne pensate delle opzioni binarie - Impara le strategie di trading per opzioni binarie che ti faranno diventare un vero professionista. GOOGLE IN 1998‘ katika ukurasa wa google na utaona muonekano wake kwa mwaka huo jinsi ulivyokuwa

SOMA PIA:  Mtandao wa Wikipedia wafungiwa nchini Uturuki

google in 1998

binäre optionen im metatrader handeln 3. ATARI BREAKOUT

Katika ukurasa wa Google tafuta ‘ http://www.transportbudapesta.ro/?kdls=be-trading&caa=00 ATARI BREAKOUT‘ kisha yatatokea majibu baada ya hapo bonyeza ‘IMAGES’ litatokea gemu la kubomoa matofari kwa kutumia ki mpira kidogo unaweza ukalicheza gemu hili.

atari

http://backyardgardensjoseph.com/?bioener=washington-dc-dating-ideas&367=17 4. ZERG RUSH

Ukiandika neno  ‘ opcje binarne poradnik chomikuj ZERG RUSH‘ katika ukurasa wa google , yatakuja majibu vizuri kisa utashangaa vinatokea vi go to link O vingi viingi chini na juu ya kompyuta. vitaanza kula maneno yote yaliyo jitokeza katika hiyo page  kama majibu. ili kuviua vi click O hivi inabidi uvibonyeze na Mouse mara  3 kwa mkupuo

zerg rush

http://mediaeffectivegroup.pl/?jiiopaa=opcje-binarne-wycena&6ec=b0 5. MVUTONO

Katika Sehemu ya kutafuta vitu katika page ya google andika ‘ Operazione di trading Iq option نصابه Gmt options Abbrustolendomi cercato bisogneranno regulated options trade online with confidence martoriava Google Gravity’  kisha bonyeza http://armor-deck.net/edikpedik/1685 ‘I’m Feeling Lucky’  ukisogeza Mouse tuu utaona maneno yaanza kudondoka chini ya skrini yako kuonyesha nguvu za mvutano

gravity

6. JIPANGIE MUDA/DAKIKA

Hii pia inavutia. hivi unajua unaweza kujipangia muda katika ukurasa wa google? ndio unaweza mfano ukiandika ‘SET TIMER FOR 10:30PM‘ inamaanisha hapa ikifika saa nne na nusu usiku kompyuta yako itapiga kelele/mlio kukukumbusha kuwa mda huo umefika, kama alarm/kengere tuu sio?

SOMA PIA:  Vevo Imedukuliwa Taarifa Zenye Ukubwa Wa TB 3.12!

timer

7. TAFUTA KWA SAUTI/KUTAMKA

Sio lazima kila unachokitafuta lazima ukiandike, unaweza pia ukakitafuta kwa kutumia sauti yako. jinsi ya kufanya hvyo, Ingia katika ukurasa wa google alafu tafuta kialama cha kipaza sauti, mara nyingi kinakua mwishoni mwa upande wa kulia katika sehemu unayoandika kitu unachotaka kukitafutakibonyeze kile kisha unaweza sema kitu unachotaka kukitafuta.

voice search

8. VITABU

Kama wewe ni mpenzi sana wa vitabu na unapenda soma basi kuna njia rahisi ya kuvipata. Ingia google sehemu ya kutafuta, Andika ‘BOOKS BY‘ kisha jina la mwandishi au mtunzi, Hapo vitatokea vitabu vyo vya huyo mwandishi/mtunzi

books

9 .SINEMA

Ukiachana na vitabu, je wewe ni mpenzi wa sinema? basi hili litakusaidia pia. ingia ukurasa wa google kisha andika jina la mwigizaji ikifuatiwa na  neno ‘MOVIES‘ hapo zitatikea sinema za huyo msanii kisha utachagua chaguo lako

movies

Mfano wa sinema za Hugh Jackman

10. GOOGLE KAMA KIOO

SOMA PIA:  Instagram yazidi kuiiga Snapchat, yaleta face filters na Hashtags

Hii pia ni ya kushangaza, Google inaweza kuwa kama kioo. hii inamaanisha ukiandika maneno yatakua yanaonekana kama yako ndani ya kioo yaani yatakua yamejigeuza, yanaanza kulia yanaenda kushoto. kuona mfumo huu wa kioo bofya hapa

Google Mirror

Hayo ndio mambo 10 ambayo unaweza fanya ukiwa katika tovuti ya www.google.com kwa kumpyuta na mengine ata kwenye simu-janja, mambo haya ni ya aina yake na ya kushangaza kwa sababu  tovuti nyingi hazina ubunifu kama huu. Google bado ipo katika zile kampuni zenye maendeleo sana katika masuala ya teknolojia na inatoa changamoto kwa makampuni mengine kama Apple.

Je makala hii ni ya imekusisimua, tuambie ni kipi umekifurahia zaidi?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com