Drones: Udhaifu wabainika kwenye ndege zisizoendeshwa na rubani

1
Sambaza

Moja kati ya vitu ambavyo vinasumbua mataifa mengi siku hizi kwenye suala zima la teknolojia ni udukuzi. Tafiti za hivi karibuni kuna uwezekano mkubwa wa drones kuweza kudukuliwa.

http://frasertech.co.uk/?q=where-can-i-get-viagra Drones hizi zimetengenezwa kwa kutumia programu ambazo zinakuwa zinaamriwa nini cha kufanya kutokana na amri iliyopewa  lakini kwa tafiti mbalimbali zimeeleza njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumia katika kudukua drones.

Drones ni ndege zinaondeshwa kwa kutumia kompyuta kwa maana nyinyine zinaendeshwa bila uwepo wa rubani. Kwa jina lingine unaweza ukaziita “Kompyuta zinazopaa“.

"Computer inayopaa" (Drone)

source link “Computer inayopaa” (Drone)

http://frankincense.world/?q=cheap-viagra-20mg-online Kwa mfano “Maldrone” ni aina ya kirusi ambacho kinaweza kudukua drones kwa njia ya intaneti. european meds online buy viagra super active Drones zimeonekana kupendwa na mataifa mengi kutoka Magharibi kwa sababu zimepunguza ulazima wa ndege kuendeshwa na rubani na badala yake kazi hiyo kufanywa na kompyuta.

SOMA PIA:  Nokia 2: Simu janja mpya ya bei nafuu, yenye kukaa na chaji kwa siku mbili

go here Kudukuliwa kwa ndege hizo kunaweza kuleta madhara kama ambavyo unaweza kupata pale ambapo kompyuta/simu janja yako kuduliwa. Moja ya tafiti zilizofanyika njia kadhaa amabzo zinaweza kutumika kudukuliwa kwa drones.

Drone ikitaka kupaa

get link Uwezekano wa ndege hizo kudukuliwa umefanya watafiti kutafuta njia itakayowezesha ndege hizo kutodukuliwa.

buy viagra east london Mojawapo ya njia zilizotumika ni pale timu ya watafiti walipoweza kutuma commands za uwongo kutoka kwenye laptop kwenda kwenye drone na kuifanya ianguke ardhini.

http://champion4x4.com/?q=discount-pill-sale-viagra Kesi nyingine ya drone kudukuliwa ni pale mmoja kutoka kwenye timu ya watafiti alipotuma maombi ya kuunganisha kwenye mtandao wa drone kitu kilichosababisha processor ya drone kuzidiwa nguvu na hivyo kutua bila matarajio.

Tuambie maoni yako juu ya makala hii kwa kuandika comment yako hapo chini na usiache kufuatilia TeknoKona kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

enter Vyanzo: Live Technology, Rocativ

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com