Njia Mbadala ya Kutumia WhatsApp kwenye Firefox kwa Kuona na Kujibu Ujumbe kwa Haraka

0
Sambaza

WhatsApp wameleta huduma yao ya WhatsApp Web kwa Firefox na Opera, baada ya kuanza kuitangaza mara ya kwanza kwenye Google Chrome.

image

Sasa unaweza kutumia WhatsApp kwenye kompyuta kwa kutumia Google Chrome, Mozilla Firefox na Opera

image

Kisaidizi cha WhatsApp Panel kinaianzisha Whatsapp na kuiweka kwenye eneo linaonekana kirahisi unapokuwa unatumia Firefox.

Tayari tumezungumzia njia moja fupi ya Kufungua WhatsApp kwenye Firefox na sasa tumepata njia fupi na labda ya rahisi zaidi ukiwa unatumia kivinjari hicho. Njia hii ni kupitia kisaidizi cha WhatsApp Panel cha msanifu wa programu aitwaye Alejandro Brizuela.
Kisaidizi cha WhatsApp Panel kinaianzisha Whatsapp na kuiweka kwenye eneo linaonekana kirahisi unapokuwa unatumia Firefox.

SOMA PIA:  Maelfu ya watumiaji wa app ya SnapChat hawajapendezwa na sasisho jipya

Kisaidizi hiki kinafanya kazi za msingi za mawasiliano ya WhatsApp ila tu ina kasoro kadhaa amabazo hata hivyo haziharibu mazungumzo ya kawaida kama:-
>Hautaweza kutumia sauti
>Hautafungua menu kwa kliki ya kushoto
>Hautaweza kuchukua picha kwaa web-cam
Pakua kisaidizi hiki na anza kuitumia WhatsApp vyema kwenye Firefox hapa

Kutumia WhatsApp kwenye Kivinjari chako soma:

Picha Na: Dotekomanie, Giga.de

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ninafuatilia teknolojia kila siku na ninapenda kutoa ujuzi wangu kuhusu teknolojia. Karibu tuzungumze kuhusu teknolojia hapa teknokona!

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com