Solar Paper: Hii Inachaji Simu Janja Kwa Masaa Mawili Na Nusu Tuu! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Solar Paper: Hii Inachaji Simu Janja Kwa Masaa Mawili Na Nusu Tuu!

0
Sambaza

Teknolojia ya umeme wa sola inazidi kukua kwa kiasi kikubwa sana siku hizi. kuna kampeni zinazoongozwa na kampuni ya Kickstarter, kampuni hiyo kupita kampuni inayoitwa Yolk imesubutu na kuleta teknolojia ya chaja ya simu inayotumia sola. Chaja hii inaitwa ‘Solar Paper’, pia inasemekana ndio chaji ya sola yenye umbo dogo kuliko zote.

http://servantspouse.com/?cat=3 Chaja hizo (Solar Paper) zipo za matoleo manne na zinatofautiana kwa baadhi ya vitu na hata kiasi cha umeme (watt). Watengenezaji wa chaja hizo wanasema ikiwa juani chaja hiyo inaweza kuchaji iPhone 6 kwa masaa mawili na nusu na ukifikiria hiyo ni sawa na chaja ya ukutani tuu.

Chaja Hiyo Ikifananishwa Na Noti (Pesa) Kwa Umbo Lake Dogo

watch Chaja Hiyo Ikifananishwa Na Noti (Pesa) Kwa Umbo Lake Dogo

order Finax online australia Chaja ya Solar paper ni ndogo sana kiumbo lakini hiyo sio sababu tuu ya uuzaji wake. Solar paper itaacha kuchaji simu yako pale itakapokosa jua na itaendelea kuchaji pindi itakapopata la kutosha.

INAYOHUSIANA  Piga simu kwa watu wengi kwa njia ya WhatsApp

Chaja (Solar Paper) zinapatikana katika makundi manne tofauti ambayo yanahusisha tofauti kati ya namba za ‘panel’. Kila panel inawakilisha 2.5W. Hii inamaanisha ile ya kundi la 5W ni panel mbili tuu, ya kundi la 7.5W ni panel 3 na hata ile ya kundi la 10W ni panel nne.

Solar Paper Ile ya 2.5W kama ilivyooelezwa kuwa haifanyi/haitaweza kuchaji simu janja bali itakuwa na uwezo wa kuchaji betri la ziada tuu. Ile ya 7.5W ndio sahihi kwa kuchaji simu janja kwa kuwa inaweza hata kuchaji iPhone 6 kwa masaa mawili na nusu tuu. Na ile ya 10W inasjhauriwa kuchaji kwa vitu kama vile iPad na tabiti zingine.

Aina Za Makundi Ya Chaja Hii Na Vifaa Inavyoweza Kuchaji

Aina Za Makundi Ya Chaja Hii Na Vifaa Inavyoweza Kuchaji

Teknolojia mbali mbali ziku hizi zinaanzishwa na zingine kuboreshwa, hakuna anaetaka kabaki nyuma. Kwa teknolojia hii unadhani unadhani itaishinda ile ya benk za chaji (power bank) kama ikiingia sokoni? Dondosha lako la moyoni sehemu ya comment kwenye ki box hapo chini

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply