Udukuzi wafanya maelfu ya wateja Uingereza kukosa intaneti - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Udukuzi wafanya maelfu ya wateja Uingereza kukosa intaneti

0
Sambaza

Wateja zaidi ya laki moja wakosa intaneti baada ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti kushambuliwa na kirusi kiitwacho Mirai. Kiasi hicho cha udukuzi kimeingia katika kumbukumbu kutokana na kuathiri kompyuta nyingi sana.

http://boxartsds.com/tag/governments/

where can i buy Prozac Uharibifu huo ullizikumba kampuni kubwa kama Talk Talk, shirika la Posta la Uingereza na KCom. Udukuzi huo ulisambazwa na kompyuta ambazo zilikuwa zimeathiriwa na kirusi Mirai.

source url Takwimu zinaonyesha karibu wateja 100,000 wa shirika la Posta la Uingereza walipata ugumu katika shughuli zao, KCom-zaidi ya wateja wake 10,000 waliathiriwa na uvamizi huo wa kimtandao huku Talk Talk wakikubali kuwa kirusi hicho kimeathiri lakini wakakataa kutoa idadi ya wateja wake waliothiriwa na uharibifu uliofanywa na kirusi Mirai.

Kirusi Mirai kilikuwa kinazima tu kifaa cha mtumiaji ikiaminika kwa lengo la kutaka kuiba ata.

Kirusi Mirai kilikuwa kinazima tu kifaa cha mtumiaji ikiaminika kwa lengo la kutaka kuiba data.

Si Uingereza tu ndio ilikuwa imeathiriwa na kirusi hicho siku chache kabla ya Uinereza kuvamiwa kimtandao na kirusi hicho kampuni moja ya mawasiliano nchini Ujerumani ilisema wateja wake zaidi ya 900,000 walikosa huduma ya intaneti kwa kisa kinachofanana na Uingereza.

Hakuna mtu/kundi la watu waliosema wanahusika na udukuzi uuliofanyika nchini Ujerumani ingawa kundi la udukuzi kutoka Urusi linashukiwa kuhusika na uhalifu huo.

Hatua madhubuti zimechukuliwa na makampuni husika kwa kuwziongezea routers usalama zaidi ili zisiweze kuathiriwa na wadukukuzi.

Vyanzo: The guardian, mitandao mbalimbali.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  WhatsApp inaweza kuchezewa
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.