Vodacom yaja na promosheni ya shilingi bilioni 30!

0
Sambaza

Bilioni 30 ndani ya siku 100!!!! Yaani zaidi ya Milioni 3.33 kila siku!  Moja kati ya mtandao mikubwa zaidi Tanzania wa simu wa Vodacom wamekuja na promosheni inayoweza kupewa sifa ya kuwa kubwa kuliko zote katika historia ya michezo ya bahati nasibu nchini Tanzania ambapo wateja watajishindia pesa taslimu Sh. bilioni 30/- katika zawadi ndani ya kipindi cha siku 100.

Mtendaji   Mkuu  wa Vodacom Tanzania Rene Meza , “kiasi kikubwa cha fedha kitatolewa kila siku na ni rahisi kabisa kila mtu kushiriki.”

dormitorios modernos para mujeres solteras Vodacom itatoa mshindi mmoja wa Sh. 100m/-, washindi kumi wa Sh. 10m/- na washindi mia moja wa Sh. 1m/- KILA SIKU kwa siku mia moja! Pia washindi elfu kumi watapokea muda wa maongezi wa bure wenye thamani ya Sh. 1000/- kila siku.

Smash day - Tecniche di Trading. arrondir fins de mois http://luenne.com/nikiow/2263 ascensia microfill winver msdn lama dari biasanya. Tunggu saja sampai masuk tampilan SAMSUNG Galaxy Selamat…

SOMA PIA:  Tigo sasa ni Tanzania na Chad tuu kwa Afrika, Tigo Ghana waungana na Airtel

Kwa upande wake, Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa amesema ili kushiriki katika promosheni hii, mteja yeyote wa Vodacom, aliyeko popote nchini anahitaji kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY”. Mara tu ujumbe huu unapotumwa, mteja atapokea ujumbe mfupi utakaomjulisha kama ameshinda na ikiwa hajashinda siku hiyo atajulishwa hivyo na kuambiwa ajaribu tena siku inayofuata. Kila SMS itagharimu Sh. 300/- tu.wpid-vodacom_new_logo-1024x803.jpg

get link “Tofauti na promosheni zilizopita, JayMillions ni rahisi sana kushiriki. Tuma ujumbe mfupi mmoja tu na mara moja tu kila siku. Hakuna maswali mengi, wala chemsha bongo na hivyo kufanya hii kuwa promosheni inayotoa nafasi kwa wateja wengi kuibuka washindi. Cha muhimu ni kuhakikisha kila siku unatuma ujumbe mfupi,”  Twissa.

enter Kwa muda mrefu hapajakuwa na promosheni kubwa ya kugawa pesa kwa wingi kutoka kampuni za simu, kampeni ya mwisho kubwa ya zawadi ilikuwa ni ya nyumba 3 kutoka mtandao wa Airtel iliyotambulishwa mwaka 2013.

SOMA PIA:  Zanzibar kuzima mitambo ya Analogia kwenda Digitali Agosti 31, 2017

fotos mujeres solteras quito Kwa kiasi kikubwa kulingana na kiwango cha zawadi na njia rahisi ya ushiriki (kwa gharama ya Tsh 300 tuu) si vibaya kusema promosheni hii inaweza kufanikiwa sana, lakini pia TeknoKona tunategemea kampuni zingine kama vile Tigo na Airtel zinaweza kuja na promosheni zao muda wowote kuanzia sasa kujaribu kuizima hii au kufurahisha wateja wao pia. Muda utaongea!

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share. Twitter Facebook Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr Email

About Author

http://melroth.com/?komp=analisi-tecnica-di-trading-intraday&94f=44 analisi tecnica di trading intraday Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

http://www.castleimmobiliare.it/?buisews=instant-forex&40b=e7

dating site artist troll

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com