Kupatikana kwa Ms. Office kwenye Chromebook zote - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Kupatikana kwa Ms. Office kwenye Chromebook zote

0
Sambaza

Programu wezeshi ya Ms. Office ambayo ni moja ya programu muhimu sana kwenye kompyuta yoyote kwa sababu ya kile ambacho imetengenezwa kurahisisha kazi ya kuandika, kufanya mahesabu, n.k kwa haraka na urahisi zaidi.

http://solarizemidcoastmaine.com/our-team/ Kwa ufupi tu, Ms. Office inajumuisha programu mbalimbali kama vile Microsoft Word, Microsoft Power Point, Microsoft Publisher, Microsoft Excel ambazo zinafanya kazi mbalimbali na kama kazi hizo zingefanywa kwa kutumia nguvu kazi ya mwanadamu ingechukua muda kidogo kukamilika.

Kompyuta mpakato aina ya Chromebook ambazo zenyewe zinatumia programu endeshaji ya Chrome na ni muda mrefu matoleo mengi ya kompyuta za Chromebook zilikuwa hazikubali na toleo la Ms. Office la wakati huo kutoka kwenye see url soko la programu tumishi la Google.

Ms. Office ilianza kupatikana kwenye kompyuta zinaztumia Chrome OS zaidi ya mwaka mmoja uliopita.

Ni kompyuta chache tu kutoka familia ya Chromebook ndio zilizokuwa ziendana sawa na Ms. Office kutoka kwenye Play Store. Kompyuta hizo ni Pixelbook na Asus Chromebook Flip C302CA. Kompyuta za Chromebook zina dapoxetine order in india ujazo mdogo wa diski uhifadhi hivyo vitu vingi vinaweza kuhifadhi ‘hewani’ na ambako hakujulikani 😆 😆 😆 .

INAYOHUSIANA  Kicharazio cha kwenye MacBook na MacBook Pro kubadilishwa bila malipo

Sasa ni rasmi kuwa kompyuta yoyote ya Chromebook inaweza kushusha app ya Ms. Office kutoka kwenye soko la bidhaa la Google na kuweza kuanza kutumia programu hizo mara moja kuweza kurahisisha kazi mbalimbali.

Vyanzo: Engadget, Chrome Unboxed

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.